Giselle Knowles a.k.a Beyonce alizaliwa September 4, 1981 huko mjini Housten, Texas, USA ni Singer, Model, Actress alianza kuimba mziki akiwa na umri wa miaka 8 ambapo alikua akipiwa support na manager wake ambae ni baba yake mzazi, beyoce ni mke wa ndoa wa rapper anaengoza kimkwanja duani JAY-Z na mpaka sasa ni mmoja kati ya wanadada wenye mafanikio makubwa kimziki na kimkwanja heshima iliyo mfanya mpaka mwaka huu kuingia kwenye forbes list...
No comments