NI GROUP NDANI FACEBOOK SOCIAL NETWORK
NA YAFUATAYO NI MASHARTI/MUONGOZO WA KUNDI KWA KIFUPI
KUNDI HILI LIMEANZISHWA MAALUMU KWA AJILI YA KUTATUA MATATIZO NA KUJIFUNZA MAMBO YOOTE YANAYOHUSU MAHUSIANO KATIKA NDOA NA YALE YA WANAOJIANDAA KWENDA KWENYE SAFARI HIYO AMA KWA KUTAFUTA MCHUMBA AU KWA KUWA KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA.
HATURUHUSU
1. PICHA ZA UCHI
2. MATUSI/MZAHA/KASHFA NA MAJIBIZANO YA KUCHUKIZANA
3. SIASA
4. USHABIKI WA TIMU ZOZOTE
ADMIN WANA HAKI YA KUKUFUTIA UANACHAMA WAKATI WOWOTE NA BILA KUULIZWA NA MTU YEYOTE IWAPO TUU UTAONYESHA KUWA SUMU KWA MAENDELEO YA KUNDI..
JE UNGEPENDA KUJUA UTAMU WA MAISHA, UNA TATIZO KATIKA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI???? DONT BE SHY, NI HAKI YAKO KUJIUNGA!!!
Tembelea LOVE AFFAIRS
Home
»
»Unlabelled
» LOVE AFFAIRS IN FACEBOOK
Tagged with:
About jimson
WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments